Kiungo wa kimataifa waIvory Coastna klabu yaManchester Cityya UingerezaYaya Tourealikuwa ni mmoja kati ya wachezaji watano waliokuwa wanawania tuzo ya mchezaji bora waAfrikainayotolewa na shirika la utangazaji la Uingereza BBC,Yaya Toureamefanikiwa kuibuka na ushindii wa baada ya kupata kura nyingi zaidi ya Pierre-EmerickAubameyang, Andre Ayew, Yacine BrahiminaSadio Mane.
karibu kwenye blog inayo husu stori mbali mbali zinazo maisha halisi
Maoni
Chapisha Maoni