Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Moja kati ya mastar wa.bongo movie afumwa

Ni mwadada mmoja alie fumwa jana jijini dar maeneo ya kinondoni mwenye mume asema aliwa. Fatilia kitambo kabla hata ajaenda kuwa fuma kwenye gest hio na kuamua kumkata viwembe uso mzima baada ya kumchana viwembe akatamka kwamba si anajiona mzuri ee ndomana anafata waume za watu ajui tumetoka wapi na ndoa zetu anavamia tu sasa aendelee tena

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nyumba ya diamond platnumz hii apa

Kama umeona video ya utanipenda ya diamond bas kila ulicho kiona umo ni mali yake kwanzia nyumba magari na kila kitu click apa uone vyote

Rose ndauka na skendo ya hamonise ukweli uko hapa

Stori hii imekua kwenye headline sana kwamba mwanadada rose ndauka anatoka na hominise lakini homo mwenyewe amepinga swala hilo na kusema anamchukulia rose kama dada yake ki umri na hata kieshima pia soma zaidi

Acha niku funze kuusu mapenzi leo

Najua vijana wengi sikuizi swala la mapenzi linatu tesa lakini ukifatilia vpindi vyangu nazani utapata suluisho kama si kwa asimia 100 basi at 75 utafikia Ingia kwenye hii blog kila ifikapo saa mbili usiku utaona post ya somo la mahaba   karibu katika ulimwengu huu wa mahabati